Shyrose na Ndege PRIVATE kutoka DOM kwenda DAR!

mbona mzee kabisa huyo wabongo bwana kama mwanaume utasikia anaitwa mzee mzee kafika mpe kiti.mwanamke ataiwa mtoto bdo mbich wakati kashafunga mzunguko wa mwez.alitakiwa kuwa na mtoto age yangu kabisa huyu mama.

Ulimshikia mama yake kadi la kliniki? Udogo wako wewe uko wapi? Tuondolee stress zako hapa
 
Kumbe gharama ni sawa na basi au Treni. Do you know definition of saving? Au unaanza kusevu zikifika mamilioni na wala sio mamoja? Mtabakia kusema wachagga bajeti kumbe hujijui kuwa wewe ndo limbukeni

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums

Wewe vipi kwani Wachagga wana nini? Ebu nitajie Wachagga watano wanaomiliki viwanda au makampuni makubwa! Siku hizi hakuna kabila ambalo lipo nyuma wote wana pesa..limbukeni kweli wewe kuwa na Vitara au Naoh na kibanda Kimara basi unajiona tajiri.
 
Safi sana bibiye tumbua tu kama zipo wenye wivu wajinyonge maisha yenyewe mafupi tu haya
 
Ulimshikia mama yake kadi la kliniki? Udogo wako wewe uko wapi? Tuondolee stress zako hapa

Makunyazi katika uso wake hayahitaji cheti cha clinic kuthibitisha ukongwe wake duniani!
 
mbona mzee kabisa huyo wabongo bwana kama mwanaume utasikia anaitwa mzee mzee kafika mpe kiti.mwanamke ataiwa mtoto bdo mbich wakati kashafunga mzunguko wa mwez.alitakiwa kuwa na mtoto age yangu kabisa huyu mama.

Hushangai babu anaitwa baby
 
MImi simu ones wivu shyeose lakini Nakubaliana na wale wanaoona hiki kitendo sio sahih, jina compromise integrity yake Kama kiongozi. Si semi asili charter, nasema hiyo sio news ya Kutulisha. Lazima ajue sisi sio wakina jafarai tunataka kuona uwakilishi uliokua professionally accepted kwenye vigezo vinavyokubalika. Hawa wote wa nahitaji serious leadership orientation
 
Kwa upeo wangu mdongo kwenye Aviation Industry huo ndio usafiri bei chee kuliko kusafiri na Presicion Air, na siyo lazima awe peke yake amekodi hiyo cherter, anaweza kuwa alikuwa ni abiria wa kawaida tu kama wengine na mkumbuke Dodoma hakuna rout za ndege kubwa.

Ila tukirudi kwenye aina ya ndege hiyo inaitwa Caravan, Jet ni kama ile ya Rais ambayo ni Gulf stream. am stand to be collected/corrected .
 
Kumbe gharama ni sawa na basi au Treni. Do you know definition of saving? Au unaanza kusevu zikifika mamilioni na wala sio mamoja? Mtabakia kusema wachagga bajeti kumbe hujijui kuwa wewe ndo limbukeni

Amekwambia hajasave pesa kadhaa banks??!! Unaongea kauli za kuhurumia hizo pesa utafikiri umemuazima!! RAHA ya pesa kuitumia bhabu, sio kuiweka ije iliwe na wengine..!!
 
Hivi wewe hunajua Caravan ni nini au unakurupuka tu kuandika kama hujui uliza.

Caravan ni gari linalotumiwa kama nyumba, linalo safiri..

Jet ni Air Craft/Air Liner/ Fighter..

Halafu sio Presicion Air...ni Precision Air.
 
Hivi wewe hunajua Caravan ni nini au unakurupuka tu kuandika kama hujui uliza.

Caravan ni gari linalotumiwa kama nyumba, linalo safiri..

Jet ni Air Craft/Air Liner/ Fighter..
Ritz wewe ni Kilaza usibishane na mimi kitu ambacho huna hata chembe ya ufahamu wake.

[TD="align: center"]
[/TD]

[TD="align: center"] King Air 200
[/TD]
HOME > AIRCRAFT > CESSNA GRAND CARAVAN

Photos
Video
Cessna Grand Caravan

[h=1]CESSNA GRAND CARAVAN[/h]​
The Grand Caravan is Cessna's top of the line turbo prop. With a single engine and three blade propeller, the Grand Caravan reaches an average speed of 180 mph and is a short range aircraft reaching up to 960 miles. The Grand Caravan seats up to eight passengers with an interior cabin of 5.2W x 16.7L x 4.3H. [h=2]Specifications[/h]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD] Seating: 9 (Std/Max)
Maximum Speed: 186 kph

[TD="bgcolor: #e1e1e1"] Lavatory: N [/TD]

[TD="bgcolor: #e1e1e1"] Maximum Range: 898 sm [/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=2]Cessna Grand Caravan Aircraft Available for Charter[/h] [TABLE="class: resultsTable"]
[TR]
[TH="colspan: 2"] Select Aircraft to Quote [/TH]
[TH] Aircraft [/TH]
[TH] Rate [/TH]
[TH] Location [/TH]
[TH] Charter Operator [/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"]
[/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff"]

[/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: left"] Cessna Grand Caravan
(Turbo prop)
Seats 12
Tail # 5Y-MJA
3 Photos [/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] $1191/hr [/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] KNW [/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] Phoenix Aviation +2546004048 / +254733632769 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: center"]
[/TD]
[TD="bgcolor: #e7e7e7"]

[/TD]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: left"] Cessna Grand Caravan
(Turbo prop)
Seats 9
Tail # N159AK
1 Photos [/TD]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: center"] Call [/TD]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: center"] FRG [/TD]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: center"] Talon Air Inc 1-914-482-2705
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"]
[/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff"]

[/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: left"] Cessna Grand Caravan
(Turbo prop)
Seats 9
Tail # N707EM
6 Photos [/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] $1200/hr [/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] FXE [/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] Sky Limo Air Charter 954-776-9004
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: center"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe hunajua Caravan ni nini au unakurupuka tu kuandika kama hujui uliza.

Caravan ni gari linalotumiwa kama nyumba, linalo safiri..

Jet ni Air Craft/Air Liner/ Fighter..
Ritz wewe ni Kilaza usibishane na mimi kitu ambacho huna hata chembe ya ufahamu wake.

[TD="align: center"]
[/TD]

[TD="align: center"] King Air 200
[/TD]
HOME > AIRCRAFT > CESSNA GRAND CARAVAN

Photos
Video
Cessna Grand Caravan

CESSNA GRAND CARAVAN

The Grand Caravan is Cessna’s top of the line turbo prop. With a single engine and three blade propeller, the Grand Caravan reaches an average speed of 180 mph and is a short range aircraft reaching up to 960 miles. The Grand Caravan seats up to eight passengers with an interior cabin of 5.2W x 16.7L x 4.3H. Specifications

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD] Seating: 9 (Std/Max)
Maximum Speed: 186 kph

[TD="bgcolor: #e1e1e1"] Lavatory: N[/TD]

[TD="bgcolor: #e1e1e1"] Maximum Range: 898 sm[/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Cessna Grand Caravan Aircraft Available for Charter

[TABLE="class: resultsTable"]
[TR]
[TH="colspan: 2"] Select Aircraft to Quote[/TH]
[TH] Aircraft[/TH]
[TH] Rate[/TH]
[TH] Location[/TH]
[TH] Charter Operator[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff"]

[/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: left"] Cessna Grand Caravan
(Turbo prop)
Seats 12
Tail # 5Y-MJA
3 Photos [/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] $1191/hr[/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] KNW[/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] Phoenix Aviation +2546004048 / +254733632769[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #e7e7e7"]

[/TD]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: left"] Cessna Grand Caravan
(Turbo prop)
Seats 9
Tail # N159AK
1 Photos [/TD]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: center"] Call[/TD]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: center"] FRG[/TD]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: center"] Talon Air Inc 1-914-482-2705
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff"]

[/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: left"] Cessna Grand Caravan
(Turbo prop)
Seats 9
Tail # N707EM
6 Photos [/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] $1200/hr[/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] FXE[/TD]
[TD="bgcolor: #ffffff, align: center"] Sky Limo Air Charter 954-776-9004
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #e7e7e7, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Last edited by a moderator:
Haya nenda tena kwenye Google andika Jet, Halafu ulete hapa..
 
Kauzu zaidi ya dagaa! Hizo zote ni JET
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…