Si ajitokeze jamani, hata akinichezea sawa tu

Ukiwa huna hela, huna chochote cha kukupa kula, basi jitahidi uwe unavaa kuwa smart, halafu ukikaa na mdada jitahidi kujifanya kama umejikatia tamaa yaanii Moja haikai mbili haitembei atakuonea huruma mpaka mbususu utakula, nishatumia njia ya namna hii 2013 huko nilikuwa na hali mbaya, lakini nilikuwa naletewa msosi mpaka magetoni na Mtoto baba mwenyenyumba ambaye alikuwa mtu mzima pia Mzee wake amlipa vyumba vyake naye anakula hela za wapangaji
 
Mwanaume ukiwa huna maisha utadharaulika mpaka basi 😓😓. Sometimes nawaoneaga huruma sana. Kuna mmoja kaamua kujilewea zake tu maana kabwagwa na manzi manzi kaenda kuolewa na mchizi mwenye maisha na kampuni afu young tu. Very sad..so sad....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…