Si CCM wala Chadema wa kumshinda Maalim Seif katika jamhuri ijayo ya Zanzibar

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
BILA SHAKA BAADA YA JAJI WARIOBA KUTANGAZA RASMU YA KATIBA HAYA YAMEJITOKEZA
1.kuwa na serikali tatu yaani srikali ya zanziba,serikali ya Tanganyika na serikali ya shirikisho
2.kuwa na raisi wa zanziba, raisi wa Tanganyika na rais wa shirikisho
3 kila jamhuri yani ya zanziba na jamhuri ya Tanganyika kuwa na mamlaka kamili
4 kuwe na tume huru ya uchaguzi
Sasa ukiangalia point no 4 ndio iliomnyima urais maalim seif zanzibari,sasa kwa jinsi rasimu mpya ijayo itatoa tume huru bila shaka maalim seif anasubiri tu kutangazwa rais wa jamhuri ya zanziba 2015 kwani CHADEMA NA CCM NI DHAIFU SANA VISIWANI HAPA.
 
​CHADEMA haina sababu wala nia ya chochote maana tunachojua CCM imewatawala wazanzibari kwa miaka yote zaidi ya 52.
 
Chama cha wananchi kuichukua rasmi jamhuri ya zanziba 2015 kisha kupambana kufa na kupona kuichukua jamhuri ya tanganyika
 
BILA SHAKA BAADA YA JAJI WARIOBA KUTANGAZA RASMU YA KATIBA HAYA YAMEJITOKEZA
1.kuwa na serikali tatu yaani srikali ya zanziba,serikali ya Tanganyika na serikali ya shirikisho
2.kuwa na raisi wa zanziba, raisi wa Tanganyika na rais wa shirikisho
3 kila jamhuri yani ya zanziba na jamhuri ya Tanganyika kuwa na mamlaka kamili
4 kuwe na tume huru ya uchaguzi
Sasa ukiangalia point no 4 ndio iliomnyima urais maalim seif zanzibari,sasa kwa jinsi rasimu mpya ijayo itatoa tume huru bila shaka maalim seif anasubiri tu kutangazwa rais wa jamhuri ya zanziba 2015 kwani CHADEMA NA CCM NI DHAIFU SANA VISIWANI HAPA.

ndoto za mtoto mchanga mchanga mchanga hizi!!!!!!!!!!!!!
 
raisi atakuwa mmoja tu wa shirikisho hao wengine watakuwa na cheo cha GAVANA , yaani kama mkuu wa mkoa vile
 
Urais wa zanzibar ni kazi rais kuutafuta kuliko kutafuta ubunge wa nyamagana kama seif ni kigogo unae mwamini mwambie agombee urais wamuungano uone kama atathubutu.
 
Back
Top Bottom