Si Harmonize wala Rayvanny anayewatetea hawa Wanawake bali kila mmoja anatoa uchafu kwake na kuwapakaza hawa wanawake walivyo zero nao wanacheka tu

Si Harmonize wala Rayvanny anayewatetea hawa Wanawake bali kila mmoja anatoa uchafu kwake na kuwapakaza hawa wanawake walivyo zero nao wanacheka tu

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Hivi hawa dada zetu wana matatizo gani mbona vitu vidogo kuelewa wao huwa vinawapa tabu sana

Hawajui kuwa Harmonize na Rayvanny wemewageuza uwanja wa kiki na kila mmoja anacheza kwa staili yake.

Leo mama mtu hana hata habari kuwa anavyomlea mwanae ni kama anamuandaa Wema Sepetu wa baadae na kina Tunda wanaoimbwa na mabwana zao kuwa wana kasura kazur ila bonge la!!!?

Huyu mama asipokuwa makini watatengeneza kiki kwa kumtumia mwanae mpaka mwisho wa siku mtoto aje amkane mama.

Litoto nalo lilivyo lijinga linajua kabisa liliwa first time mzee anaomba second time halafu meseji linazipeleka public so what means Harmonize first time alikula mayai kabla ya kumla kuku.
 
Mkuu wanamziba CAG hao si umeona wabongo wameshasahau ya CAG hadi ya mbowe. Bongo bahati mbaya Corona ndo kabisaaa imetupiliwa mbali haina kiki tena
 
Back
Top Bottom