Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Turejelee harakati za mitume wetu Yesu Kristo na Muhammad, mitume hawa walikuwa wakihangaika usiku na mchana kuondoa maovu ikiwemo wizi, ukahaba, ushoga na mengineyo.
Leo hii tunashuhudia dunia ikitumbukia kwenye ushoga na usagaji na maovu mengine mengi, Je, unadhani mfupa uliomshinda fisi binadamu ataweza?
Kama hawa mitume walishindwa kumaliza haya matatizo sisi binadamu tena wa kawaida tutaweza?