Zinaa na mapenzi ya Jinsia moja ni chanzo cha matatizo makubwa duniani ikiwamo shida, taabu na mahangaiko, magonjwa na kifo lakini hatukomi
MWANZO 3:19
"kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi."
MWANZO 5:5
"Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia kenda na thelathini, naye akafa."
MWANZO 6:3
"BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini."
ZABURI 90:10
"Miaka ya kuishi ni sabini, au tukiwa wenye afya, themanini; lakini yote ni shida na taabu! Siku zapita mbio, nasi twatoweka mara!"
Siku za kuishi zilikua hadi miaka 900, lakini sababu ya uovu wetu ikapunguzwa hadi 120, ikapunguzwa tena hadi 70
Sasa sijui tunataka ifike mingapi
Yesu atusaidie sana