Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, naangalia Tv Tumaini na sasa wamejiunga na kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma.
Kikao hicho kinaongozwa na Rais mheshimiwa Samia.
Nilichogundua mheshimiwa Rais kasema leo afya yake si nzuri na hata uvaaji wa barakoa nao si sahihi.
Ninavoona mie hii kitu haijakaa sawa, wasioneshe moja kwa moja kama hali ya kiafya ya Rais si nzuri pia msaidizi wake ahakikishe muonekano wa uvaaji wa barakoa ni sahihi kulingana na maelekezo ya wataalam wa afya.