Great Thinkers.
Politicians ni binadamu kama binadamu wengine tu. Leo hii misiba tanzania iko mingi lakini ya wanasiasa inapambwa sana.
Wanasiasa wenyewe ndo hawa CCM wnaotutesa na ugumu wa maisha pamoja na ubadhilifu.
Kuna wanasiasa wa kulilia ila wengine hasa walio wengi tunasema asante mungu