U mjuvi wa mambo ya kizani. Yaelekea ulishafanya mambo kwa mamboze. Umemkamata zoba na lofa flani. Umefanya ili uchepuke bila kelele.Ila bwana waganga wapoo asikwambie mtu. Anatega bomb linalipuka hapo kwa hapo bila hata kulisha watoto wa watu vitu vichafu
Usilale bila kusoma neno la Mungu
U mjuvi wa mambo ya kizani. Yaelekea ulishafanya mambo kwa mamboze. Umemkamata zoba na lofa flani. Umefanya ili uchepuke bila kelele.
Hongera Mrs Bishanga
Bazazi