Si kwa kupendeza huku kwa wadada wa sasa

Si kwa kupendeza huku kwa wadada wa sasa

Akasankara

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
4,210
Reaction score
5,752
Wanajukwa,

Kumekuwepo na wimbi kubwa sana la wadada na wa mama kupendeza (kunawiri) siku hizi za miaka ya 2000 hadi sasa ukilinganisha na miaka ya 1980s, 1990s hadi 2000.

Nini siri ya urembo wa jambo hilo? Si kijijini wala mjini wadada na wamama. Je ni kutokana na unadhifu wao, kutaka kupendwa, kuuza sura au ni desturi zao? Si kwa kupendeza huku.
 
Bila picha hainogi

Alafu acha umbea asubuh asubuh yote hii
leila-lopes-hd.jpg
 
Wanajukwa kumekuwepo na wimbi kubwa sana la wadada na wa mama kupendeza (kunawiri) siku hizi za miaka ya 2000 hadi sasa ukilinganisha na miaka ya 1980s, 1990s hadi 2000. Nini siri ya urembo wa jambo hilo? Si kijijini wala mjini wadada na wamama. Je ni kutokana na unadhifu wao, kutaka kupendwa, kuuza sura au ni desturi zao? Si kwa kupendeza huku.
Waache waendelee kujichubua na kujipandikiza maplastiki
Hatuta waoa ngo' kuolewa watabaki kuisikia kwenye bomba
Tutahamia nchi zingine sasa
Wadada badilikeni kwa nini usiwe natural
 
hahhaaaaaaaaa acha nicheke mie kwani mtu akipendeza mnamtakia nini? mwache apendeze kwa raha zake haaaaaaaaaaaa
 
Mwanaume unamuonea wivu dem akipendeza?!we tukakupime DNA inawezekana zinafanana na james deli
 
Back
Top Bottom