Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Mechi tano kama sio nne mfululizo anashindwa kupata goli 1st halafu, inawezekana hana tena mbinu mpya au suala la kumuachia jukumu la kufunga braza mayele ndio shida..
Mchezaji mmoja ndio awe anatolewa macho na mabeki wote kweli jamani?Hata awe ni mchezaji mzuri ila kuna muda mabeki wanamzidi ujanja.
Nadhani ni muda wa kocha nabi kuanzisha angalau double striker ya mayele na makambo ili angalau makambo apate kurudisha kujiamini na kaminiwa na mshabiki,pata picha siku mayele anaumwa au ana shida za kifamilia inakuaje??.
Kwa upande wa mbinu,nabi hana rotation kwenye kikosi chake kabisa,ni kama amekariri kuwa lazima wacheze hao hao tuuu..
Sasa una kiungo kama bigirimana kwanini mechi hata moja asianze???.
Au kisa hakuwa chaguo lake?(ndio shida ta kumsajilia kocha).
All in all watani zangu yanga nawaambia tu sudan mwende mkacheze 4 4 2 mkafunguke tuu manake hakuna cha kupoteza,wao watawalazimisha kucheza mchezo wa taratibu ili muda uende tuu wapate hata sare tasa.