Si kwa ubaya ila nabi PENGINE kaishiwa mbinu au wachezaji wanamuangusha

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Mechi tano kama sio nne mfululizo anashindwa kupata goli 1st halafu, inawezekana hana tena mbinu mpya au suala la kumuachia jukumu la kufunga braza mayele ndio shida..

Mchezaji mmoja ndio awe anatolewa macho na mabeki wote kweli jamani?Hata awe ni mchezaji mzuri ila kuna muda mabeki wanamzidi ujanja.

Nadhani ni muda wa kocha nabi kuanzisha angalau double striker ya mayele na makambo ili angalau makambo apate kurudisha kujiamini na kaminiwa na mshabiki,pata picha siku mayele anaumwa au ana shida za kifamilia inakuaje??.

Kwa upande wa mbinu,nabi hana rotation kwenye kikosi chake kabisa,ni kama amekariri kuwa lazima wacheze hao hao tuuu..

Sasa una kiungo kama bigirimana kwanini mechi hata moja asianze???.

Au kisa hakuwa chaguo lake?(ndio shida ta kumsajilia kocha).

All in all watani zangu yanga nawaambia tu sudan mwende mkacheze 4 4 2 mkafunguke tuu manake hakuna cha kupoteza,wao watawalazimisha kucheza mchezo wa taratibu ili muda uende tuu wapate hata sare tasa.
 
Mko busy kuijadili Yanga, huku timu yenu yenyewe ni tia maji tia maji! Yanga imetoa tu sare! Imecheza mpira mkubwa! Na kila mtu ameona!!

Ila nyinyi kwa sababu ya umbumbumbu wenu, mko busy na Yanga! Kana kwamba hakina kinachoendelea kwenye timu yenu!

Hakika Ismail Addn Rage hakukosea pale alipowaita mbumbumbu! Aisee mnastahili kabisa. Leo mkifungwa tutaona tu kelele zenu humu za kumkataa Matola, Mgunda na CEO Barbara!! Na hii ndiyo maana halisi ya kuitwa mbumbumbu.
 
Mechi 43 unbeaten halafu kuna mbumbumbu mmoja ameshiba njugu mawe anakuja kusema Prof ameishiwa mbinu hivi uko sawasawa kweli wewe?

Umechezwa mpira mkubwa dhidi ya timu kubwa ulikua unategemea nini? Wame tengeneza nafasi zao na sisi tumetengeneza za kwetu lakini wao ndio wanaonekana zaidi kuliko sisi(ushabiki)

Mnaweza kupuga majungu kwa mashabiki wasiokuwa na uelewa mkubwa wa mpira na sio kwa sisi. Halafu inatosha hebu mrudi na nyie mna kipengele huko ugenini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua roho inakuuma sana.
 
Unbeaten kwa kununua mechi na kuhonga marefa mkalemaa sasa dawa inawaingia..
 
Mko busy kuijadili Yanga, huku timu yenu yenyewe ni tia maji tia maji! Yanga imetoa tu sare! Imecheza mpira mkubwa! Na kila mtu ameona!...
Ni kweli timu yetu ni tia maji tia maji na tunaenda kitia maji tia maji na unakuta tunafika mbali sababu tunajua udhaifu wetu.

Sasa nyinyi mashabiki maandazi mnaaminishwa kwamba timu yenu ni bora kisa ina unbeaten ya mchongo na nyinyi mnakubali. Hakika uto ni uto.
 
Forward squard imefanya wajibu waobipaswavyo, kocha kajitahidi sana hatupaswi hata kidogo kumlaumu

Hersi aliyekuwa anasajili ndiye mwenye makosa ya kufikiria timu inashinda kwa forward na middle pekee. Kasahau kabisa walinzi wenye vipaji na miili mirefu, yeye karidhika na watu wa morogoro kaona wanamtosha matokeo yake ndio hayo.
 
Yule mtakayemlipa 345m alikuwa sahihi kuwalinganisha na nyani na mbwakoko hamna akili hata kiduchu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…