Si kwa ubaya ila nabi PENGINE kaishiwa mbinu au wachezaji wanamuangusha

Nabi ni mbovu kwenye mechi za kimataifa. Ana panga ki kosi uta dhani ana cheza mechi za Ligi na Mbeya City au Singida Big Stars. Hizi Game za CAF ni za mtoano. Hakuna kulemba. Ali takiwa , aanze na Joyce Lomalisa badala ya Jesus Moloko. Pia, ange mtoa kibwana Shomari hata dk ya 26 tu, kwani alipwaya aingie Bakari Nondo Mwamnyeto afu abadilidhe mfumo no na mbinu , wachezaji uwanjani kati ya Faisal na Aziz Ki. Pia aongeze, UKALI. Wachezaji wana lipwa mishahara minono kuliko watu wa Masters Degree, mil 7 hadi mil 15 ila hawajitumi, hawana fighting spirit, mpira wanao cheza hauna maajabu...ni sawa tu na mpira wa Polisi Tz. Aucho, Bangala, Aziz Ki, Jesus Moloko, Diarra, Kisinda, nk hawa wana cheza chini ya kiwango. Aziz Ki ana tabia ya kupooza sana mpira pale shambulizi linapo hitajika. Diarra ana zubaa sana golini na ni mvivu wa kufanya maamuzi hasa mipira ya kona ..hata yale Makosa ya goli la jana (kosa la Bangala), kipa (Diarra) angekuwa shapu, ange futa makosa ya beki kwa kufuata na ku udaka mpira juu hewani (ana tabia ya kubaki sana golini bila kufuata mipira juu kama alivyo kuwa ana fanya kipa wa Al Hilal). Faridi Mussa huwa ana kosa la kukosa Focus (ana mbio na anaweza kukokota mpira vizuri sanaaa ila either atoe cross mbovu au achelewe kutoa cross/pasi hana tofauti sana na Kibu Denis).

Mechi za Yanga hazina nguvu, pressure. Kocha ajaribu kuwachezesha mazoezi ya mpira wa Nguvu na Kasi kama Manchester City (ikiwezekana mazoezini wacheze dk 120).

Viongozi wa YANGA kuweni wakali. Wapeni Malengo wachezaji. Penalty ziwepo kwenye Mikataba ya mishahara zao kama Manchester United. Hela ya YANGA tuna hitaji kuona matunda yake. Kama ni wachezaji wa hivyo! Fukuzeni sajilini wa ndani ya nchi tu, hizo hela za Wadhamini tujenge uwanja wetu.

YANGA BADO INA NAFASI YA KUFUZU. KOCHA AACHE MASIHARA.
 
Wameshampa bichwa mayele mpk wengine wanakosa comfidence mimi namkubali sana Fei toto. Angepewa na yy akaachiwa nafasi mbona Yang'a wangefurahiii
Aisee! Kwa hiyo unamkubali sana Fei Toto kuliko hata kiungo konokono! Kiungo nungunungu! na kiungo Punda! Au na wenyewe unawakubali pia?

Halafu mechi yenu inaanza saa ngapi? Nataka nianze kujivuta mdogo mdogo kwenda kwenye kibanda umiza nikaangalie
 
Basi ungeenda PM ukamjibia huko kama hutaki kujibiwa hapa.Waulize mashabiki wenzio waliotoa povu baada ya mechi wanajua uchungu wa kudharirika kwa yale matokeo ya jana.
Kweli nyie mbumbumbu. Wapi nimesema sitaki kujibiwa? Wewe ulileta mada tofauti na nilivyomjibu mtoa mada ndio maana nikakujibu vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man Ciity walikua na Mahrez, Silva, Foden, Sterling bado wakamuongeza Jack Grealish. Unaelewa nini mtu akikwambia upana wa kikosi wewe?

Wewe unajua kuliko sisi? Piga kimya subiri zamu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 

Haya karibu sana ushuhudie soka saafi la kimataifa,una uhuru pia wa kuiga mbinu kama utataka lakini..[emoji1488][emoji1488]karibu sana mtani
 

Master wa hizi shughuli ni IBENGE Jamani ..hawaelewi tuu[emoji23][emoji23][emoji23]yule ibenge ana kichaa kibovu yule
 
Tatizo la Yanga ni beki wa kati,usajili wa Kisinda hauna tija wangelileta beki wa kati. Hslaf Bangala ahasogea kati.
Wewe unajua mpira huwezi kwenda Na job kimataifa utegemee kutoboa tusidanganyane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…