Si kwamba ufugaji wa Sungura ni utapeli, no ni uwezo wetu wa kuwaza umeisha

Wewe unaongea pumba tu, na pengine ndio wale wale waliotapeli au hujui kilichotokea..

Hao waliowauzia Mbegu ya Sungura ndio waliosema watakuja kununua Sunngura wakikua wakubwa, lakini mwishowe wakaingia mitini wasinunue, vipi tena uwatetee?
 
Kinachotakiwa ni kubadilisha zao hilo kuwa zao linalopokeleka sokoni kwa mfano ukiwa na hao sungura ukatengeneza sausage zake katika price ya kawaida utapata. Au ukachoma mishkaki yake utapata.

Au nyamanyake ya kusaga utapata. Na ngozi ukaiprocess na kuiuza na mkojo ukaugena. Utapata kidogo kidogo kwenye kila bidhaa mwisho wa siku kitakiwa kikubwa.
 
Labda kwa msaada zaidi waelezee faida za nyama ya Sungura mkuu
Kunambinu za kibiashara zinaweza tumika sungura wakatafutwa ka pesa, baadhi ya bidhaa nyingine huwa wanazipa promo watu wa lishe na madaktari baada ya kulipwa na baadhi ya viwanda/kampuni au watu,
 
Wale ni matapeli hasa, hata wakiwanunua hawezi kurudisha gharama za uendeshaji, kingine cha kujiuliza kwanini wasifuge wao wakaajiri watu ili wakidhi hilo soko la kimataifa, hao jamaa nilishangaa kuona wananishawushi nifuge wakati wa corona wakisema wazidiwa masoko uko ulaya, wakat wanajua kipindi hicho hotel/super market zote zilikuwa zimefungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…