Gilbert wa tarakea.
Senior Member
- Feb 2, 2014
- 179
- 82
Natamani kila mtu ajue yafuatayo
01. Kuna barabara kila kona. hata ukienda nyumbani kwa mtu huitaji kupack mbali.
02. Kuna maji tena safi na salama bila kuchemsha.
03. kuna umeme kila mtaa na kila kijiji na kitongoji.
04. Kuna idadi kubwa ya shule za msingi na sekondari kuizidi DAR. kuna wasomi wengi.
05. Kuna biashara zote halali na haramu. huitaji kwenda mbali.
06. Kuna amani na usalama wa kutosha kwa kuwa watu wameshikilia dini.
07. kuna hospitali kila kijiji (dispensaries). huitaji rufaa ya muhimbili. kuna mortuary pia.
08. kuna chakula cha kutosha(milo 3 kwa siku). ukisikia kuna njaa wanataka mahindi ya kupika pombe ya NZUGA
09. Kuna population ya kutosha uhakika wa soko la bidhaa yako
10. kuna wazee wa kutosha kumaanisha huduma nzuri za Afya na chakula bora kwa wazee
11. Kuna wasomi wengi tenga ngazi ya cheti na shahada kila familia. LITERACY RATE.
12. Kuna watoto wengi kumaanisha HUDUMA NZURI ZA UZAZI
13. Kuna magari mengi yaendayo mikoani zaidi ya halmashauri yeyote ile. kwa siku magari 7 hutoka Dar, Dodoma, na Arusha.
14. Vijana wengi wako nje ya nchi kama Kenya na kwingineko wakisaka maisha bila kuchoka
15. Kuna majengo ya kisasa zaidi. wameachana na nyumba za mbao wanajenga kwa matofali tena kwa kasi kubwa sana.
Naomba uniambie ni kitu gani hakipo ndo tuseme kuwa ni maskini??? UTAKUBALIANA NAMI KUWA HAWA NI MATAJIRI.
😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉