JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Inawezekana mtu aliyepata maambukizi ya #CoronaVirus kutoonesha kabisa dalili yoyote kati ya zinazotajwa kama mafua, kifua na homa au akapata dalili siku kadhaa baada ya kuambukizwa
Kwa imani kuwa hana maambukizi inawezekana akawaambukiza wengine kirahisi kwa kuwa karibu nao au kuhamisha maambukizi kutoka mdomoni au puani kwenda kwenye vitu vinavyotumiwa na jumuiya

Kuwa makini, nawa mikono kwa maji tiririka na uhakikishe haushiki macho, mdomo na pua kwa mikono isiyo safi
#JFCOVID19_Updates #Corona #JamiiTalks

Upvote
0