Elections 2015 Si mita mia mbili tena sasa wasema mita 300

Elections 2015 Si mita mia mbili tena sasa wasema mita 300

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Kama mlimsikia mheshimiwa mmoja wa NEC kasema hawataruhusu watu wasubiri matokeo kwa kuanzia umbali wa mita mia mbili hadi mia tatu ,Je unajua kwa nini ?

CCM watatumia malori kuleta watu katika vituo vya kupigia kura na watu hawa watapitishwa mbio mbio kupiga kura kisha kurudi kwenye malori na kupelekwa vituo vyengine ,kwanza watu hawa mtawajua kwa ugeni wao kama kuku wageni ,pili anakuwepo kiongozi kuwaonyesha chochoro za kutokea kituoni,na huwa wanashushwa katika distance hizo hizo za mita mia mbili hadi tatu. Walitumia hila hizi katika Zanzibar ,walifanikiwa mashamba lakini Mji mkongwe wananchi waliokuwa wamekaa mita 200 waliwaona na kuanza kuwafatilia wanatoka wapi na wanakwenda wapi,ikajulikana wanaenda kwenye kituo na wakirudi au wakitoka huelekea kwenye lori ndipo ilipoanza pata shika na CCM walilikosa Jimbo la mji mkongwe.

Sijui kama hii topiki itapata uhai maana imegusa ndipo kwenye kiini cha wizi na mbinu za ccm.:bange: CCM hooei !
 
Back
Top Bottom