Samatha hana mbinu ya mpira zaidi ya kuruka kichwa. Luis Kijana wa Msumbiji ni mzuri zaid ya Samatta. Kama Samata hajaruka kichwa basi hajapata goli. Ana uwezo mdogo wa kushinda kwa kutumia miguu. Pia , Samata hakuenda kucheza mpira UK , alienda kutimiza ndoto yake ya kucheza EPL siku moja.
Nawashangaa wanaosema apewe muda, hivi hamjui Ulaya mpira ni kazi kama kazi nyingine na unaheshimika, once it comes about performance. They have zero tolerance...... Yaani acheni mambo yenu eti apewe muda, apewe muda huku anaendelea kula mshahara wa bure. Unadhani ni Africa kule , Mtu kama boko anakosa kosa magoli ya msingi na bado aachwe...... msahau