The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Rwanda Haina maendeleo kihivyo,ni overrated tu.Tukiangalia mafanikio machache ya kiongozi wa kijeshi kutoka katika taifa ya afrika magharib Kepten IBRAHIM TRAORE watu husema he's nothing compare to Paul kagame
Hebu kumbuken huyu mwamba hana misaada ya nje hakopi kalipa den lote la taifa .
Kagame ana misaada kutoka kote Magharib hadi juzi ubelgi kasema anaikomesha.
Mashindano yatawaponza kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Rwanda and Tanzania are two different countries.Rwanda Haina maendeleo kihivyo,ni overrated tu.
Hakuna kubwa Kagame kalifanya,kama lipo lileteni hapa.
Bora Mama Samia kuliko Kagame.
Huyo atafeli tu ,marehemu mugabe uko aliko anamzoom na kumuona mjinga.Tukiangalia mafanikio machache ya kiongozi wa kijeshi kutoka katika taifa ya afrika magharib Kepten IBRAHIM TRAORE watu husema he's nothing compare to Paul kagame
Hebu kumbuken huyu mwamba hana misaada ya nje hakopi kalipa den lote la taifa .
Kagame ana misaada kutoka kote Magharib hadi juzi ubelgi kasema anaikomesha.
But truth to be told Kagame is an overrated leader.Mashindano yatawaponza kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Rwanda and Tanzania are two different countries.
Kama ulivo feli ww form 4Huyo atafeli tu ,marehemu mugabe uko aliko anamzoom na kumuona mjinga.