Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Kama ilivyo kawaida hili dude so called sumatra wamekuja na amri ya kuzuia bajaj na boda boda town.
Napinga amri hii sababu jibwa lenyewe koko na haliwezi kusimamia amri zake, mara zote wanakuja na amri tata huku wakijua kabisa wanawaongezea ulaji traffic na mapikipiki tigo.
Hawa jamaa hawana kitu inayoitwa wadau wao wanajifungia na kuja na amri. Wasichokijua ni bajaj na bodaboda ni ubunifu wa wananchi wenyewe kukabiliana na hadha ya usafiri.
Sumatra na wengine wanajua wajibu wao ila kwa makusudi wanakichafua ili kichafuke, pia wanatumiwa na baadhi ya wafanya biashara na wanapoteza maana ya fair play wakiwa wao marefa.
Zipo sababu zinazosababisha msongamano wa magari mjini, wawape wananchi mbadala wakati wakizuia. Kwa nini wasichaji watu wanaoingia town na vipando kwa kuweka road toll ili kuongeza mapato.