Mnapoambiwa muweke CEO mwenye akili mnaweka mahawara matokeo ndio haya..
Hii nembo mtavaa kila mechi msipovaa faini
Natamani simba ishushwe daraja kama TFF wanaweza kufanya hvyo!
Halafu waone simba ana umuhimu gani kwenye hii league!
Jinga sana hao TFF wawashushe waone!
GSM Ni lidude likubwa aisee..
Ukilikataa NBC utakutana nalo Mapinduzi Cup.
Liverpool fc na wengineo wengiNike ina jezi gani mkuu?
Kwahyo simba na yanga uwezo wao sio sawa?Simba haina muda wa kucheza kombe la Mbuzi,wakati huo wachezaji wetu watakuwa wakijiandaa Kima Taifa zaidi.Bakini wenyewe mcheze wenye uwezo sawa.
Mbona hasira kolo wa kike?😀😀hatuvai na hamna cha kutufanya
Mbona hasira kolo wa kike?[emoji3][emoji3]
Kawaambie TFF pale sisi kazi yetu imeisha kilichobaki ni kichapo tu kesho kutwa
Nadhani akili imeanza kukuingia,rudi Tena hapa ulete nyenyenye zako!
Unayo akili kweli?Hivi unadhani CEO Babra ni sawa na Manara?
Sasa GSM ameshafurushwa na mabango yake kama paka mwizi huko Taifa.
Huu Uzi Wako kafungie Vitumbua.
Na ile nembo nyekundu ya NBC Yangaa waliikataa kwa minajili ipi? Tena NBC wala sio mdhamini wa Simba wala business partnerSioni Mantiki ya Simba kukataa kuvaa jezi ya nembo ya GSM
GSM ni kampuni.. siyo yanga