Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Msemaji wetu ni hodari wa maneno akasema kipa wetu anaweza kusoma gazeti wakat mechi ikiendelea.
Sasa imekuaje karuhusu goli 2 na hata gazeti lenyewe hakusoma!
Je, akisoma gazeti itakuwaje siku hyo?
Ahmed Ali Mungu anakuona!
Sasa imekuaje karuhusu goli 2 na hata gazeti lenyewe hakusoma!
Je, akisoma gazeti itakuwaje siku hyo?
Ahmed Ali Mungu anakuona!