Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
AyaMsemaji wetu n hodari wa maneno akasema kipa wetu anaweza kusoma gazeti wakat mech ikiendelea
Sasa imekuaje karuhusu goli 2 na hata gazet lenyewe hakusoma!
Je akisoma gazeti itakuwaje siku hyo!
AMEDI ALI MUNGU ANAKUONA
AHMED ALLY kama alisoma jounalism basi alifeli vibaya sana. aliwaongopea kwamba mmeiba mchezaji wa yanga airport juzi try again kasema hawajaiba mchezajiMsemaji wetu ni hodari wa maneno akasema kipa wetu anaweza kusoma gazeti wakat mechi ikiendelea.
Sasa imekuaje karuhusu goli 2 na hata gazeti lenyewe hakusoma!
Je, akisoma gazeti itakuwaje siku hyo?
Ahmed Ali Mungu anakuona!
Upimbi mwingi...AHMED ALLY kama alisoma jounalism basi alifeli vibaya sana. aliwaongopea kwamba mmeiba mchezaji wa yanga airport juzi try again kasema hawajaiba mchezaji
jamaa anabwabwaja sana bila weledi wowote
Kolo FC wanashidaaaa😂Msemaji wetu ni hodari wa maneno akasema kipa wetu anaweza kusoma gazeti wakat mechi ikiendelea.
Sasa imekuaje karuhusu goli 2 na hata gazeti lenyewe hakusoma!
Je, akisoma gazeti itakuwaje siku hyo?
Ahmed Ali Mungu anakuona!