Si tulikubaliana kuwa kocha Robertinho apewe Uhuru wa kuchagua wachezaji Sasa mbona viongozi wa Simba hamtaki kusikia anachokitaka?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Za ndani kabisa Robertinho ana mtaka Moses Phiri na Peter Banda waendelee kubaki maana ana mpango nao.

Hivyo basi, Kuna viongozi wa Simba hawataki wabaki kutokana na majeruhi waliyo nayo hii imepelekea kuleta mvutano ndani ya timu wengine wanamuunga mkono Robertinho na wengine hawamuungi mkono.

Je kwa viongozi wa Simba sc kuendelea kutompa Uhuru kocha tutafika kweli kwenye nchi ya Ahadi (kuchukua vikombe)?

Nawasilisha hoja.

 
Banda akienda no problem, lakini Phiri hapana akiondoka itakuwepo problem.
 
Pale mwanayanga anapokuwa na habari za ndani za Simba ila kama kweli sishangai maana viongozi waliochaguliwa ni WA hovyo kabisa
 
Za ndani kabisa Robertinho ana mtaka Moses Phiri na Peter Banda waendelee kubaki maana ana mpango nao..
kupanga ni kuchagua tuwe na kikosi bora au tuwe wasindikizaji tena msimu ujao ndio tutapa uchungu kisawa sawa maana yanga kwnye champion ataleta upinzani mkubwa sana.. ameonyesha anawamudu waarabu vizuri sana.
 
Tuliwatuma Arabuni kuleta kombe au hirizi!

Tuanzie hapa.
 
Wenzio wanajiandaa kwenda Ikulu kwenye Futari..we umekomaa hapa na mambo ya Simba..Algeria hukwenda hata hapo Magogoni huendi
 
Wenzio wanajiandaa kwenda Ikulu kwenye Futari..we umekomaa hapa na mambo ya Simba..Algeria hukwenda hata hapo Magogoni huendi
Umejuaje Kama siendi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…