GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijui hawa SANDA FC a.k.a NGADA FC watacheza na nani. Labda mwana mbumbumbu FC GENTAMYCINE atuambieKwani mbumbumbu wanacheza na nani?
Wao walishajichagulia kibonde wao kutoka Rwanda APR, wanapenda kweli mteremkoπ€£π€£π€£π€£Kwani mbumbumbu wanacheza na nani?
Wamezoea kutudanganya.Yaani waje muwape kila Huduma ( Kuwakarimu )kote halafu Wawakazie msiwafunge kisha warudi Ndola kwa Miguu?
Tarehe 8 utaongea lugha zote hadi za kuzimuHakuna Timu ya maana inaweza kupoteza muda kuja kwenye bonanza la uto,,, ni ukubwa wa propaganda TU
Uzuri wewe Una matokeo kabisa mkononi sawa,, unadhani mpira ni Kama mchezo wa karata kwamba una michezo yote Tisa mkononi na mapiku yote,, ko ww ni ushindi tu!!Tarehe 8 utaongea lugha zote hadi za kuzimu
hizo timu hazitaki kusikia kitu kinaitwa them vs yanga...hata iwe ki rafiki,kila timu haitaki kucheza na yanga...kwasababu za kimaslahi mshale mwekundu akaona kucheza na yanga ni fursaYaani waje muwape kila Huduma ( Kuwakarimu )kote halafu Wawakazie msiwafunge kisha warudi Ndola kwa Miguu?
We hauogopi?Uzuri wewe Una matokeo kabisa mkononi sawa,, unadhani mpira ni Kama mchezo wa karata kwamba una michezo yote Tisa mkononi na mapiku yote,, ko ww ni ushindi tu!!
Na Wachovu zaidi wa Kwetu Rwanda.Kwani mbumbumbu wanacheza na nani?
Kama mnaona Red arrows wanafaidi njooni nyieYaani waje muwape kila Huduma ( Kuwakarimu )kote halafu Wawakazie msiwafunge kisha warudi Ndola kwa Miguu?
Thubutu....Unipige tena 5 au?Kama mnaona Red arrows wanafaidi njooni nyie
Basi Red arrows wacheze na APR alf nyie mcheze na sisi ππππNa Wachovu zaidi wa Kwetu Rwanda.
Hatutaki....!!Basi Red arrows wacheze na APR alf nyie mcheze na sisi ππππ
Na hio slogan yenu ndio inatupa ugwadu, walaah badamu batamwagikaπΉπΉπΉThubutu....Unipige tena 5 au?