Si umeshaolewa wewe? Wamtega nani?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Kwanini mwanamke anaendelea kutega watu kimavazi na kimwendo wakati ameshaolewa?
 
naweweee si umeowaaa au hata kama hujaowaa kwanini,usawishikee na kutamani mke wa m2 kwa mavazi yake.....UZIZIIII TU
 
Kama sio kumtaman umejuaje kama anawatega?Na kwa nn umtamani mke wa mwenzio, Lbd ndo mavazi anayoyapenda mme wake
 
Mdau wanawake ni viumbe waajabu sana!Yaani maamuzi yao wanayajua wenyewe ukiwafuatilia utapata head-ache bure!!Binafsi mke wangu akifanya hivyo atajuta kunifahamu!!
 
Zichungen hisia zenu, zitunzen ndoa zenu!Law has no xcuse, umeoa umeolewa cha mhm muheshm mkeo/mmeo!Twacheni kutaftiza vji7bu vya kutegana!
 
Mada yako mbona haieleweki, kama umeolewa kuna mavazi yake na wasiolewa wana mavazi yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…