Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,720 Oct 25, 2012 #1 hata kusimama inaanza kuwa shida si upumzike na unataka uraisi 2015 tena jamani?
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,284 Reaction score 38,364 Oct 25, 2012 #2 kwani umesikia kaanguka peke yake jukwaani.?
Sumba-Wanga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 5,353 Reaction score 1,234 Oct 25, 2012 #3 Kwani amekwambia anataka urais wa 2015 au unaweweseka tu?
Wamunzengo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 810 Reaction score 321 Oct 25, 2012 #4 Sure, hata mie nimemuona hata kutembea inaonekana anapata shida. Anakuwa kama anaenda upande upande hivi. Kweli apumzike.
Sure, hata mie nimemuona hata kutembea inaonekana anapata shida. Anakuwa kama anaenda upande upande hivi. Kweli apumzike.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Oct 25, 2012 #5 Msimkatishe mwenzenu tamaa.....
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,342 Oct 25, 2012 #6 Sumba-Wanga said: Kwani amekwambia anataka urais wa 2015 au unaweweseka tu? Click to expand... aanguke kwani alishwahi kuhutubia jangwani?
Sumba-Wanga said: Kwani amekwambia anataka urais wa 2015 au unaweweseka tu? Click to expand... aanguke kwani alishwahi kuhutubia jangwani?
sabasita JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 1,501 Reaction score 393 Oct 26, 2012 #7 gas na mafuta wamuachie nani acha wale hela za wajinga
NdasheneMbandu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 940 Reaction score 308 Oct 26, 2012 #8 Haka kazee kanapenda ukubwa sana. Mimi nimesafiri nako mara kadhaa. Kakishuka kwenye ndege utakaonea huruma wakati wa kutembea kwenda boarding room. Inakuwa kama kametoka jando dakika chache zilizopita.
Haka kazee kanapenda ukubwa sana. Mimi nimesafiri nako mara kadhaa. Kakishuka kwenye ndege utakaonea huruma wakati wa kutembea kwenda boarding room. Inakuwa kama kametoka jando dakika chache zilizopita.
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,567 Reaction score 4,683 Oct 29, 2012 #9 Kweli aise wapumzike, yeye na mwenzake daktari Wiliburodi...
B BLB JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 382 Reaction score 43 Oct 29, 2012 #10 Black Bat said: aanguke kwani alishwahi kuhutubia jangwani? Click to expand... Kwani ye dhaifu?