Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Wadau poleni sana na mihangaiko ya Jumamosi.
Kuna hili la kuandika matusi na maneno ya kejeli kwenye vyoo vya kulipia, unakuta ukutani pale pameandikwa matusi makubwa na maneno ya kejeli, kiukweli huu si uungwana kabisa.
Swali langu ni kwamba wanaosimamia hawaonagi au wameridhika wateja wao kutukanwa? Wanashindwa kufuta au wameacha kwa maksudi tu.
Lingine ni la usafi kiukweli kuna vyoo haviridhishi kabisa katika usafi. na unakuta msimamizi yupo tu wala hana habari.
Tukumbuke kwamba tupo kwenye kipindi Cha magonjwa mengi yanayoweza kusababishwa na kujisaidia kwenye vyoo vichafu.
Niwatakie weekend njema.