Si vema serikali ya awamu 6 kulipuuza hili.

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam
Mungu wa binguni alitupa hii hazina tukaipoteza na kumpoteza mweka hazina. Hayati mwendazake alitengeneza njia sahihi kuhakikisha tunajitegemea kwa madini yetu, ajabu amefariki na upigaji wa tanzanite umerudi kwa kasi ya kimbunga.

Sikiliza hapa uni jibu je tumelaaniwa?
 
Attachments

  • 26c4b7cf474c89ba0444572fd01ce36d_1740866019254.mp4
    16.8 MB
Tuko fiesta Tanga, tunafikiri dunia imelala kama tulivyolala.

Sidhani kama tunasoma alama za nyakati na siasa za kidunia zinazokwenda kubadirika na kuja na Sera za uporaji wa rasirimali wazi wazi.
Tunakwenda kwenye nipe nikupe isiyo ya kificho sasa aka survival of the fittest.

Ni wakati wakuwezesha Watanzania hasa vijana waweze kuwa wawekezaji kwenye rasirimali zao kuanzia madini, kulimo mpaka gas. Tusipokuwa aggressive sasa tutarudishwa utumwani.

Hizi sio dhama za viongozi kupenda anasa na matumizi ya hovyo huku uzarishaji zero, hizi ni dhama za watu kuwa productive na smart huku tukiacha utegemezi na matumizi ya hovyo.
 
Umenena vema kabisa lakini cjui km watakuelewa
 
Wasalaam
Mungu wa binguni alitupa hii hazina tukaipoteza na kumpoteza mweka hazina. Hayati mwendazake alitengeneza njia sahihi kuhakikisha tunajitegemea kwa madini yetu, ajabu amefariki na upigaji wa tanzanite umerudi kwa kasi ya kimbunga.

Sikiliza hapa uni jibu je tumelaaniwa?
Ni mjinga tuu ndio ataaminishwa kwamba Mwendazake alidhibiti upigaji
 
Back
Top Bottom