Tuko fiesta Tanga, tunafikiri dunia imelala kama tulivyolala.
Sidhani kama tunasoma alama za nyakati na siasa za kidunia zinazokwenda kubadirika na kuja na Sera za uporaji wa rasirimali wazi wazi.
Tunakwenda kwenye nipe nikupe isiyo ya kificho sasa aka survival of the fittest.
Ni wakati wakuwezesha Watanzania hasa vijana waweze kuwa wawekezaji kwenye rasirimali zao kuanzia madini, kulimo mpaka gas. Tusipokuwa aggressive sasa tutarudishwa utumwani.
Hizi sio dhama za viongozi kupenda anasa na matumizi ya hovyo huku uzarishaji zero, hizi ni dhama za watu kuwa productive na smart huku tukiacha utegemezi na matumizi ya hovyo.