Za weekend wadau !
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Lengo kubwa ni kupeana taarifa tu! Tukiwa kwenye majonzi ya kuondokewa na mzee wetu Mengi nilidhani si vibaya kujifunza baadhi ya maamuzi mazito aliyokwisha yafanya katika maisha yake kama kumwacha mke wake wa kwanza ambaye pia ni marehemu aliyemuoa 1971.
Huenda kuna watu wanajua chanzo cha wao kuachana na pengine sisi vijana tunaotaraji kuoa tukawa na jambo la kujifunza kutoka kwao kwa nia njema kabisa.
Karibuni wakuu!!