Mkuu, ungeswaki kwanza.
Pika kwanza chai
Waza utapata wapi ada ya watoto, maana unajisahaulisha kwa kujadili yasiyokuhusu Mkuu
Achana na hii hoja maana umeileta wakati usio sahihi! Si vizuri kujadili madhaifu ya mtu baada ya kifo chake. Ingekuwa vema kama ungejadili hili mwaka Jana kuliko sasa ambapo familia iko kwenye majonzi wewe unaanzisha hoja ambayo inaweza kuleta kumbukumbu mbaya kwa watoto wa marehemu maana wao ndio walikuwa waathirika wakuu baada ya kuvunjika kwà ndoa ya wazazi wao.Umejuaje kuwa hilo ni tatizo kwangu mkuu ! Get out of the box ,kama hauna info kaa kimya mkuu ! Sijaleta uzi huu kwa misingi ya kubeza,kuna mazuri mengi tunaweza kujifunza kwa wenzetu wanaotangulia mbele ya haki.Wewe ukiwa kama marehemu mtarajiwa jipange kuacha jambo fulani kwa wengine kujifunza
Achana na hii hoja maana umeileta wakati usio sahihi! Si vizuri kujadili madhaifu ya mtu baada ya kifo chake. Ingekuwa vema kama ungejadili hili mwaka Jana kuliko sasa ambapo familia iko kwenye majonzi wewe unaanzisha hoja ambayo inaweza kuleta kumbukumbu mbaya kwa watoto wa marehemu maana wao ndio walikuwa waathirika wakuu baada ya kuvunjika kwà ndoa ya wazazi wao.
Umejuaje kuwa hilo ni tatizo kwangu mkuu ! Get out of the box ,kama hauna info kaa kimya mkuu ! Sijaleta uzi huu kwa misingi ya kubeza,kuna mazuri mengi tunaweza kujifunza kwa wenzetu wanaotangulia mbele ya haki.Wewe ukiwa kama marehemu mtarajiwa jipange kuacha jambo fulani kwa wengine kujifunza
Mfano uliou set ni wa majungu, hayakuhusu, fanya something productive, kama hauna kazi na leo ni jumamosi, uwa hata mbu wanaowasumbua, au osha vyomba, au hata mwagina maji garden, that is moreproducti e
Umeongea kwa kificho sana. Watakuelewa wachacheAmefariki kwa kuweka mkeka wa laki na hamsini. Ulivyochanika na yeye hapo hapo.
Brother mbona kama umepanik??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umejuaje kuwa hilo ni tatizo kwangu mkuu ! Get out of the box ,kama hauna info kaa kimya mkuu ! Sijaleta uzi huu kwa misingi ya kubeza,kuna mazuri mengi tunaweza kujifunza kwa wenzetu wanaotangulia mbele ya haki.Wewe ukiwa kama marehemu mtarajiwa jipange kuacha jambo fulani kwa wengine kujifunza