Malaya au Changudoa?
Malaya ni mwanamke au mwanaume mwenye wapenzi wengi. Kwa tafsiri rahisi michepuko, madanga, sponsors, jimama wa viben10 wote hao ni malaya.
Changudoa ndiyo hao wanawake wanaojiuza.
Kwa malaya piga shoo babkubwa. Kwa changudoa jiridhishe wewe mwenyewe.