Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 122
- 186
Sio vizuri Kumnyoshea mwenzako kidole. Kumtaja kwamba Yeye ndiye mbaya. Sio vizuri wapendwa. Acha Kuwanyoshea wengine kidole. Yawezekana wewe Ndiye mbaya kuliko huyo Umnyosheaye kidole.
Muwe na wakati Mwema. ✍️ 🙏
Muwe na wakati Mwema. ✍️ 🙏