Si vyema kumdhihaki mtu anayetafuta mwenza humu ndani

Si vyema kumdhihaki mtu anayetafuta mwenza humu ndani

antar100

Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
26
Reaction score
31
Habari zenu natumai ni wazima kuna tabia kwakweli humu sijapendezwa nayo unakuta MTU anapost anahitaji mwenz wanakuja watu na kuanza kumdhihaki kumsema na kejeli kiukweli huo ni ushamba.kama hauko interest why uko humu why unafatilia post kwan ukanyamaza bila comments utakufa?

Ni ujinga naomba uongoz uweke kitu ambacho watu wataweA kufungiwa kutumia kwa mda ikitokea MTU Ku comment upuzi na lingine unatangaza unahitaj MTU linatokea jitu unachat nae inbox kumbe yuko Ku enjoy tu inaboa sana kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana. sasa wewe ushapata mpenzi ama bado?
 
Mi nashauri focus kwenye lengo lako, hizo dhihaka potezea tu kwani utakufa pia?, tuko tofauti kimtamzamo humu, hivo tegemea kupata replies tofauti tofauti nzuri na mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom