Si waache kuimba

Barcelona763

Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
26
Reaction score
21
Hawa wasanii was bongo flava sina Imani kwa sababu naheshimu kazi zao ila inabidi waelekezwa kuhusu jinsi ya kuhimudi uimbaji wao.
Nuh Mziwanda, Shilole, Giggy Money na Young D
 
Mshauri yule boya alikiba aache maana hajui kitu kuhusu kuimba
 
Hawa wasanii was bongo flava sina Imani kwa sababu naheshimu kazi zao ila inabidi waelekezwa kuhusu jinsi ya kuhimudi uimbaji wao.
Nuh Mziwanda, Shilole, Giggy Money na Young D

mtoe young daresalaama ili nichangie huu uzi
 
Waache kuimba alafu waje wale kwako? Mkuu hebu kuwa serious bwana!
 
young d ..anajua bhanaa " mtoa mada acha wivu
 
Wanaojua kuimba hapa bongo ni wachache sana mkuu, hawa wengine wanafanya ili mkono uende kinywani sio kwa malengo.
 
Wanaojua kuimba hapa bongo ni wachache sana mkuu, hawa wengine wanafanya ili mkono uende kinywani sio kwa malengo.
Kujua kuimba na kutengeneza hit ni mambo mawili tofauti, mtu kama anaweza kutengeneza hits na zikamuingizia mpunga inamtosha kuendesha maisha yake... sasa anapotokea mtu anakomaa et waache muziki mi huwa sielewi!! Maana sio lazima kumsikiliza kila msanii!!
 
Kwa upande wa waimbaji wa kike bongo, hakuna kama Maua Sama, ana sauti na anajua kuimba.
 
Wanamuziki wetu waende shule za muziki,ebu mcheckini Meddy wa Rwanda anavyoimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…