Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Mashirika ya kimataifa yanapiga pesa ndefu..... Asasi za kiraia nchini "zinapiga pesa ndefu"....
Wote hao wanapinga watanzania wenzetu kuitwa wakazi wa Ngorongoro bali wanataka waitwe WAMAASAI...jamii ya kimaasai.....
Kinyume na neno hilo "mipesa" itapungua na hwenda baadhi ya "NGO's" zikakosa kazi za kufanya.... Ni wasomi haswa...si wajinga...[emoji1787]
Ukiwaeleza kuhusu hayo wanakujia na "jaggons" nyingi...ni "abracadabra" haswa [emoji1787][emoji1787]
WITO WANGU :
Tubadilikeni jamani...mkianzia na baadhi ya vijana wenzetu wa asili ya huko Ngororongo...mmepata nafasi ya kupelekwa vyuo vikuu ili mlitetetee TAIFA LENU kwa ujumla na si maslahi VIKUNDI TU....
#Nchi Kwanza [emoji7]
#JMT daima dumu[emoji7]