Sia sauti isiyochosha masikioni..

Hiyo Sauti angekua anamuimbia Mungu ingekua na maana,lakini ni kazi buree. All the good voice and talent is useless.Siku akifa atatamani arudi aanze upya but it will be very far late

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mwamposa.
Tuache kidogo nabii Tito

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uzwazwa.
[emoji3]

Mampocha..
Acha uchuro.
Hahahahahah!!! Mmemkimbiza nabii harudi tena.
 
Unstoppable
Pack it all
 
Hiyo Sauti angekua anamuimbia Mungu ingekua na maana,lakini ni kazi buree. All the good voice and talent is useless.Siku akifa atatamani arudi aanze upya but it will be very far late

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu muda uliotumia ucomment hapa ungekuwa ukiomba ingekuwa poa, haina maana kutumia muda kucomment kwenye uzi wa kidunia ukifa utajuta sana bwana mtumishi useless kucomment
 
Napenda kitu cha I'm Unstoppable

I'm unstoppable
I'm a Porsche with no brakes
I'm invincible
Yeah, I win every single game
I'm so powerful
I don't need batteries to play
I'm so confident, yeah, I'm unstoppable today
Unstoppable today, unstoppable today
Unstoppable today, I'm unstoppable today

Halafu kuna kile cha Pack it all away
 
Sia chep thriil ni ngoma ambayo haichoshi Sean Paul kafanya unyama. Hakika huyu mwanamama ni shujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…