Siafu wameua vifaranga shambani

Njia mujarabu hizi.
 
Usiku wa kuamkia leo siafu wamevamia shambani kwangu na kuua vifaranga vya wiki tatu 56 na vya miezi miwili na nusu 31 vilivyokuwa kwenye banda maalum la kukuzia
Kwa wenye uzoefu nifanye nini kudhibiti siafu shambani

Nisaidieni wataalam
Hao siafu ni Gen Z.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…