Wajukuu zangu kwa ujumla salamu,
Napenda kuwafahamisheni wajukuu watiifu na wakorofi kwa ujumla kuwa bibi yenu ni member wa JF lakini babu mimi sikuwa najua....Leo ndio nimejua rasmi.
Sasa wale mabinti mliokuwa mnaniPM kuhusu mambo ya kudumisha mila kaeni chonjo, mwenye nyumba yuko sebuleni. Msimwambie yale mambo ya ISC tafazali, alikuwa hajajiunga wakati nikiwa mfadhili mkuu wa chama.
Bibi popote ulipo nakuomba ujitambulishe wajukuu wakujue.
Wenu katika kuijaza dunia
Babu Aspirin a.k.a Big Braza ODM
Kaunta ya Juu Club Etienne's
Boko- Basihaya.
Babu bana..........every single post of your's make me drop a single smile...
Haya sasa bibi in da house kazi ipo, ngumi za keyboard lazime zipigwe humu.....anyway, Babu naomba nipe mamlaka yako niwe mlinzi wako wa karibu wasije kukuingilia na kumtibua bibi...........hope bibi nae ata-approve
Msalimie bibi................Plz bibi come out quick wajukuu tunataka kukupata
Rafiki naamini utakuwa mtetezi wangu maadui zangu watakapotaka kuniharibia.
hahahaha!
kumekucha na makucha yake....
niliamua kuhamishia laptop usalule kwa kuliogopa hilo hilo..........
Usijali mkuu.....tumeshafikia maafikiano na bibi. Atajitokeza hapa.
Kuhusu ulinzi, unatumia silaha gani? Babu anaiamini manati kuliko bastola.
Na wewe hukwepi kwa kuwa anakujua Teamo Ti
Habarr lazima zifike kwa Mshikiz na Ankal.
Mwokozi wa ndoa, mwenyekiti wa ISC ndoa yake iko mikononi mwa Esijii
A lot of catapult babu, zimejaa na za kila dizaini...........usijali maana mimi nipo kwenye kundi la wajukuu watulivu, full respect
Kuna watu kama nawaona walivyouma meno...ngrrrrrrrrrr!!!! hahaaa
Hahahaha....na wewe hutoki kwenye hii kesi. Ndo ukome kuposti upupu wako...
Hahahaha...wajukuu watukutu wameingia mitini.
Na wale mabingwa wa infidelity wamekihama chama chao....Bibi anawajua wake zao na alivyo mwepesi wa kuchonga mdomo.....Habari lazima zifike majumbani kwao.