Humu ndani ni wa lini? Hebu soma mwenyewe hapa chini:
Join Date : 28th February 2011
Location :
Posts : 431
Thanks
184
Thanked 98 Times in 81 Posts
Rep Power : 21
Wajukuu zangu kwa ujumla salamu,
Napenda kuwafahamisheni wajukuu watiifu na wakorofi kwa ujumla kuwa bibi yenu ni member wa JF lakini babu mimi sikuwa najua....Leo ndio nimejua rasmi.
Sasa wale mabinti mliokuwa mnaniPM kuhusu mambo ya kudumisha mila kaeni chonjo, mwenye nyumba yuko sebuleni. Msimwambie yale mambo ya ISC tafazali, alikuwa hajajiunga wakati nikiwa mfadhili mkuu wa chama.
Bibi popote ulipo nakuomba ujitambulishe wajukuu wakujue.
Wenu katika kuijaza dunia
Babu Aspirin a.k.a Big Braza ODM
Kaunta ya Juu Club Etienne's
Boko- Basihaya.

AGE-MATEWajukuu zangu kwa ujumla salamu,

Hahahaha....wacha hii maneno!Alaa laaaa, kwa mtaji huu Babu inabidi uombe kibali cha MoDs na Inv wafute page yako ya PM na some posts hasa zile za wajukuu wale zilizokuamshia fire.......hahaaaaa
Bibi bana amenielewa. nimemwambia humu ndani ni masihara tu, asichukulie siriaz kivile. Kanielewa tayari.Hahahahahah Mkuu labda Bibi anakuchora tu...anaelewa kila kilichokuwa kinatendwa na Babu hapa jamvini. :bange:
Hahahaa...na wewe ukome kuniPM, ana pasiwedi yangu....nina mpango wa kuibadili very soon.lol salallee
bora bibi kaja, anajua kusoma alama za nyakati. maana niliona dalili za babu kuwa na vitukuu na vilembwe visivyo na idadi.
shukrani za dhati kutoka kwa mjukuu mtiifu.!!!
Age mate mdogo mdogo tafazali. Utaharibu mazima ujue.AGE-MATE
kweli nimeamini hodi ya chooni haitikiwi karibu, naona bibi kaamua aingie tu, hakuna cha miguno wala kugonga kikopo chini
basi naye awe mfadhili mkuu wa ICS female wing
Sasa huo ndio unoko sasa. Homuboi wa namna hii hatari sana. Hachelewi kukumegea mwanao.Aiseee!! Na ukiingia tu na ID ya pili namshtua bibi.lol