Siamini....Bibi kumbe member JF!!

Usimfundishe mambo ya PM bibi yetu, maana Kimey atampa lile faili zima la katiba ya ICS!
Sasa sijui utatokea wapi!...
Lakini mbona bibi hajitokezi?...Anza kuogopa, maana huenda ashaambiwa tayari!
Hahahaha...Mkuu haya mambo huwezi jua. Hebu msome huyu hapa chini, waweza kuta ndo yeye.

Hivi Bibi Ndio mimi ? or Dawa ya maumivu ulikuwa wapi?
 
Skulimeti umepotea sana bana!
Skulmeti sijapotea. Tatizo pale...... imekuwaje wahudumu wamekuwa midume mitupu?

mie mmenipoteza
Pole sana....tatizo kwenu Mbagalaaaa!

Nikimfehem nitaanza mchokoza na PM....:A S-baby:
Kama una jeuri, huyu hapa chini.

Ni mie kumbe siku zote ulikuwa hujanijua KIPENZI CHANGU :bange::bange::bange:
Sooo sorrry my darling....hebu msome huyu fataki hapo juu afu unambie kwa PM utamtenda nini.
 

Hehehe...Kolejimeti umenikumbusha mambo ya kibalkoni.....

BTW enzi za mwalimu ulishawahi kwenda Matejoo kwa mama Seberee?... Unagonga glasi moja ya gongo, unaingia kambi ya fisi unagonga bohora mbili za mbege then unahamia kwa anti unakula safari lager ya baridi kabla hujachukua kesto ya kopo na kuingia nayo skuli kuwaonyesha vijana ulivo na feza kama mtoto wa Rostam....

Ole wake hiyo siku muwe mna disko na Kibosho geloz LOL
 
Babu I Love Youuuuuu and only Youuu (mtu mzima hatishiwi nyau Babu ah ndo unapanga kunifukuzia wale Bibi zangu wa Kambo?)

Hahaha...hatimaye mjukuu mtiifu amefufuka kama alivyosema.

Ahsante hapo kwenye mabano bibi mtiifu hatapasoma (sijui kama ameshaujua huo uchakachuaji)

BTW umepotelea wapi mbona sijakukagua siku nyingi.

Babu loves mjukuu mtiifu. Be a good girl for Babu. ok?
 


Hahahah nimeamua kukuchokoza ............nipo Babu naitafuta ahadi ya Kikwete ...........Maisha bora kwa kila Mtanzania
 
Hahahah nimeamua kukuchokoza ............nipo Babu naitafuta ahadi ya Kikwete ...........Maisha bora kwa kila Mtanzania

Hahaha...maisha bora ya Kikwete ni kufungua miradi...kama kontena vile (nadhani hajui bei ya kontena na yanapatikana wapi), uajiri wahudumu na Meneja...(Wahudumu wasiliana na maty), mabaunsa (hapo cheki na Kaizer).....afu ndo uhangaikie mtaji.....Maisha bora kwa kila mtanzania labda Rostam aamue.

Hivi imekuwaje sredi yangu umeingiza siasa? Ntakupiga Ban ujue!:bange::bange:
 
Mjukuu hebu ninong'oneze basi huyu Bibi leo kaamkia wapi
Hivi wewe si bado unanyonya?...Ngoja nikuletee pampers..........

Hahahahah Babu hajui kuwa ndo keshatwa kwenye chupa tena................(Atoe ID ya Bibi ili watu wamchakachue PM ............nina hakika alivyo Mtiifu lazima ajifute)
Nachokupendea mjukuu mtiifu ni hapo tu....kuandikia kwa chaki nyeusi.....bila mawani bibi hasomi kitu.

BTW na umri ule wa bibiyo, anaweza kuchakachuliwa na hawa vijana wasiojua kutongoza ambao kila kukicha wanaacha visredi vya kutafuta wachumba?................. Ntamwambia bibi akuchape bakora!
 
Bibi karibu, lakini unafahamu idadi ya wajukuuu alionao babu??
 
Bibi karibu, lakini unafahamu idadi ya wajukuuu alionao babu??

Sasa huu ndio unaitwa unoko sasa. Bibi ataachaje kujua idadi ya wajukuu wa babu ambao pia ni wajukuu zake?

Afu hebu njoo huku nikukague.
 
Afadhali mimi c mjukuu bali ni rafiki mpenzi wa Big Braza ODM so PM allowed
 
Hahahahah Babu hajui kuwa ndo keshatwa kwenye chupa tena................(Atoe ID ya Bibi ili watu wamchakachue PM ............nina hakika alivyo Mtiifu lazima ajifute)
Sasa sijui tuseme ndio amekamatia au ujanja wote mfukoni
 
Sasa huu ndio unaitwa unoko sasa. Bibi ataachaje kujua idadi ya wajukuu wa babu ambao pia ni wajukuu zake?

Afu hebu njoo huku nikukague.

Sio unoko babu, inatakiwa bibi afahamu idadi kamili hasa ya sisi wajukuu tuliopatikana kipindi kileee ukamficha.

ukaguzi mpaka bibi awepo
 
Afadhali mimi c mjukuu bali ni rafiki mpenzi wa Big Braza ODM so PM allowed
Na uzuri wako una-Post Via Mobile....

Ha ha ha hili pose la Kisharo b mambo vipi? long time. Hongereni nasikia Preta ana Mapacha.
Homeboy ulipotelea mitaa gani?

Sio unoko babu, inatakiwa bibi afahamu idadi kamili hasa ya sisi wajukuu tuliopatikana kipindi kileee ukamficha.

ukaguzi mpaka bibi awepo
Afu sikumbuki kama nlishakukagua wewe. Hebu ukuje huku tudumishe mila.
 
hahahaaaaa.... Natamani sana kuchangia ila sema mi new comer cjajua vizuri mishale ya nyakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…