Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
- #41
Unajua Naantombe ni salama kwa kikwetu.. Yaani nikisema kwa mfano.. Naantombe Genta.. ni sawa sawa na nimesema Umeamkaje Genta... Ukiieleta kwa kiswahili ndo hapo kunakuwa na ukakasi ila kwa maana halisi ya neno lenyewe wala halina utovu wowote wa nidhamu.. Binafsi Naantombe nimelifanyia usanifu tu ila Mushi kweli ni Surname yangu