Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Sawa Simba Wamesajili Wachezaji Wazuri Wengi Wao! Lakini Siamini Kwamba Mkude Nibora Zaidi Yakotei! Hakika Jamaa Alikua Chuma Kweli Hasa Katika Lukaba! Naikumbuka Mechi Ya Mwaka Juzi Simba Pungufu Walikipata Ushindi Wa 2-1 Dhidi Ya yanga Jamaa Alivyopambana Na Kina Chirwa Kuwazuia Wasifunge! Pia Game Na Jkt Tanzania Msimu Uliopita Pale Tanga, Jamaa Alifanya Saving Ngumu Sana! Vitu Ambavyo Mkude Hana! Mechi Za Juzi Dhidi Ya Azam Niliona Pengo La Kotei Wazi Kbs! Sawa Mkude Ni Mbongo Mwenzetu Ila Ukweli Hamfikii Kotei Kwenye Kujituma! Tuendelee Mazee Mwaonaje Hili?