Siamini Jambo Hili

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,490
Reaction score
8,227
Sawa Simba Wamesajili Wachezaji Wazuri Wengi Wao! Lakini Siamini Kwamba Mkude Nibora Zaidi Yakotei! Hakika Jamaa Alikua Chuma Kweli Hasa Katika Lukaba! Naikumbuka Mechi Ya Mwaka Juzi Simba Pungufu Walikipata Ushindi Wa 2-1 Dhidi Ya yanga Jamaa Alivyopambana Na Kina Chirwa Kuwazuia Wasifunge! Pia Game Na Jkt Tanzania Msimu Uliopita Pale Tanga, Jamaa Alifanya Saving Ngumu Sana! Vitu Ambavyo Mkude Hana! Mechi Za Juzi Dhidi Ya Azam Niliona Pengo La Kotei Wazi Kbs! Sawa Mkude Ni Mbongo Mwenzetu Ila Ukweli Hamfikii Kotei Kwenye Kujituma! Tuendelee Mazee Mwaonaje Hili?
 
Aisee mtoa mada tupo pamoja. Kwenye mpira kuna wachezaji wanaoitwa mashujaa wasioimbwa ambao ndio aina ya akina Kotei. Wanafanya kazi kubwa sana uwanjani lakini kwa macho ya kawaida haionekani mfano lile goli la JKT alilofuta kwenye ligi mwaka jana. Wao mara nyingi hawana udambwi dambwi kanzu, tobo, n.k. wao ni kazi kazi tu. Na kuna wengine wana nyota tu hata mpira ukimgonga kwenye ugoko utawasikia mashabiki wanashangilia umeona hiyo huyu jamaa hatari sana. Ndio wakina Mkude hao wenye nyota zao.

Mkude ni mzuri tu akiwa na mpira lakini uwezo wa kupora mpira au kutibua mbinu za wapinzani ni mdogo sana. Kumfananisha Mkude na Kotei ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi. Ila ndio imeshatokea tena viongozi wetu ndo washafanya yao tena "The iron man" yupo South Africa Kaizer Chief. Mara nyingi sana najiuliza hivi viongozi walishindwa nini kumbakisha au alidai dau kubwa sana kama alivyofanya Okwi?

Ukiitazama mechi ya Azam kwa jicho la tatu ndio utajua umuhimu wa Kotei na mapungufu ya Mkude. Kwa kweli ule utulivu waliokuwa wanaupata Nyoni na Wawa wakati Kotei anapambana pale kati sasa hivi haupo tena.
 
Uyo kotei mbka sasa ajachezi mechi yoyote kaizer chief uyu jamaa s top kivile kakutana n mzimbabwe akili itamkaa saw
 
Kotei alikuwepo Simba ikifungwa na yeye akicheza. Kufanya save moja isiwe judgement ya uzuri au ubaya
wa mchezaji.
Mkude alifunga goli muhimu sana dhidi ya Nkana. Hapo vipi?Kotei ni mchezaji mzuri lakini msimfanye ni mchezaji wa ajabu.
 
Ni kweli Kotei alikuwepo wakati tunafungwa goli nyingi. Lakini timu sasa imeimarika sana mbele kwa kuwaleta Deo Kanda na Shiboub na timu sasa inaanza kukabia mbele tofauti na mwaka jana. Sasa cha ajabu mbele kunaimarika huku nyuma kunakuwa hovyo matokeo yake Simba itafunga magoli mengi halafu yatakuwa yanarudi kirahisi.
 
Nakuambia Pale Kiungo Cha Chini Angesimama Kotei! 7 Akacheza Kahata, 8 Liweke Lishiboub, 9 Terminator Mk14, 10 Ajib Na 11 Mwamba Wa Lusaka 3c! Nakwambia Raha Ilikua Inatunyemelea Wana Lunyas Taifa Kubwa, Namnyama Angekua Anatinga Jangwani Mchana Kweupe Nakukamata Ngamia Wakutosha Nakutokomea Nao Msitu Msimbaz Huku Akiwaacha Wananchi Wajangwani Wanachungulia Tu!
 
wachawi wetu ni shabalala na wawa sijui simba kwanini waliongeza mkataba wa wawa na kumwacha Juuko
 
wachawi wetu ni shabalala na wawa sijui simba kwanini waliongeza mkataba wa wawa na kumwacha Juuko
Hapa ndipo tulipobugi yaani unamuongeza mkataba Wawa unamuacha Juuko aende hili sikulipenda kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…