Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Miaka si mingi iliyopita January Makamba alikuwa anasemwa ni smart na anafaa kuwa Rais. Siamini nani alimbadilisha akamleta huyu.
Nape pia kuna kipindi alikuwa shujaa sana. Sasa najiuliza ndo huyu huyu au alinafilishwa? Na wapiga debe walikuwepo humu wa ndani na nje ya chama.
Usimwamini mwanasiasa. Labda pale tu anapotaja jina lake wakati wa kuomba kura.