Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Magufuri ni nani hasa? Mbona ye ndo ana laana kama zote kwa watanzania wengi aliowafanyia ushetani.Wote wawili wana laana ya kumtukana Magufuli mwisho wao kisiasa ni mbaya sana
Miaka si mingi iliyopita January Makamba alikuwa anasemwa ni smart na anafaa kuwa Rais. Siamini nani alimbadilisha akamleta huyu.
Nape pia kuna kipindi alikuwa shujaa sana. Sasa najiuliza ndo huyu huyu au alinafilishwa? Na wapiga debe walikuwepo humu wa ndani na nje ya chama.
Usimwamini mwanasiasa. Labda pale tu anapotaja jina lake wakati wa kuomba kura.

Napambana Manka. Sema nyie wanawake mna bahati. Mnapambaniwa.. .ulifanikiwa kupata namba ya Jan? Umempata na yeye?Pambana na maisha yako bwashee