Siamini kama Halima Mdee anaijua Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kumzidi Mzee Msekwa aliyeiasisi katiba hiyo mwaka 1977

Baada ya kuipitia CV ya Pius Msekwa kwa umakini mkubwa nimegundua kuwa yeye ndio mtu pekee anayeweza kuisemea kwa haki katiba ya JMT ya 1977 na marekebisho yake kwa sasa.

So bwashee usikariri!
 
Halafu wewe jamaa sometime huwa nakuelewa sana kwa sababu unajielewa. Na kinachofanya nikuelewe tofauti na CCM wenzako ni kuwa huwa penye ukweli wakati fulani huwa unakubaliana nao tofauti na vijana wengi wa CCM ambao wapo humu JF huwa kama vile hawana akili kwa jinsi wanavyochangia mada kwa kujitoa akili hata katika masuala ambayo yapo wazi kabisa. Hongera sana kwa kuwa na muelekeo huo. Maana hata kama tuna itikadi tofauti ya vyama lakini penye ukweli lazima tuseme ukweli na sio kuleta propaganda.
 
Kwahiyo CHADEMA ni kama TFF?
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na kesho ni Jumapili bwashee!
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na kesho ni Jumapili bwashee!
Nimekupata mkuu. Sometime uwe unajaribu kuwaelimisha baadhi ya vijana wenzako wa CCM humu namna sahihi ya kuchangia mada badala ya kutukana tukana tu. Mfano mzuri mtu kama Paschal Mayala ni muandishi wa muda mrefu sana humu JF lakini kwa jinsi anavyotoaga mada zake na kuchangia humu utafikiri ni mtoto mdogo asiyejielewa kumbe ni muandishi nguli wa muda mrefu sana.
 
Baada ya kuipitia CV ya Pius Msekwa kwa umakini mkubwa nimegundua kuwa yeye ndio mtu pekee anayeweza kuisemea kwa haki katiba ya JMT ya 1977 na marekebisho yake kwa sasa.

So bwashee usikariri!

Mtu yeyote mwenye kusimamia sheria ndiye mwenye haki ya kusimamia katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na si kama usemavyo.

Hii inaonyesha vile ulivyo tayari kumwabudu mtu na si kusimama na sheria ambayo ndio sauti ya watanzania
 
Vipi comrade ndiyo ufahamu umekurudia sasa? Maana jana tu hapa ulikuwa shabiki namba wani wa mzee Mdee!
 
Stay tuned game ndiyo imeanza wewe si umesikia upande mmoja subiri usikie na upande utakujaje then utajua nani ni nani na nani atamshinda mwenzake
 
MaCCM hovyo sana, wanafiki sana MaCCM.
Hao waunga juhudi 19 mnao huko CCM, mfurahi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…