mihadarati
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 268
- 74
Ni kwa muda mrefu nilisumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa vidonda vya tumbo..hakuna dawa ambayo niliisikia,niliambiwa,niliona ikitangazwa kwenye media mbalimbali ambayo sikuinunu a bila kujali gharama kwani nilichoshwa na kushindwa kufanya mambo yangu mengi kutokana na ugonjwa huu wa vidonda vya tumbo.
Lakini hadi sasa nikimwambia mtu kuwa nimepoana kabisa vidonda vya tumbo hawaamini licha ya kwamba taarifa zangu za hospitali zinaonesha nilikuwa na tatizo hilo ambalo nilifikia hatua mbaya kabisa kabisa kiafya na kushindwa kufanya mambo yangu mengi.
Mwakani nilikuwa ziarani Jijijini Mwanza kikazi bahati nzuri nilikutana na classmate wangu niliyesoma nae chuo baada ya kukaa na kuzungumza mambo mawili matatu alianza kunieleza jinsi ambavyo amesumbuliwa na ugonjwa kama wangu lakini anafurahi kwa sasa amepona kabisa sikuamini.
Nilitaka aniambie dawa ambayo aliyotumia ndiyo akaniambia ametumia dawa ya AMBAKAS ambayo ilimpatia uponyaji baada ya wiki moja tu kitu ambacho sikutaka kuamini bali nilichofanya kwa kuwa nilikuwa nimebanwa sana na kazi nilimuomba anitumie baada ya mimi kuondoka Mwanza na kuja Jiji Arusha kikazi.
Naomba niwe muwazi nimeandika ujumbe huu bila kushawishiwa na mtu yoyote..Dawa hii ambayo nilikuwa nikitumia na asali mbichi na maziwa fresh pamoja na orodha ya vyakula nilivyopewa ilinisaidia na mimi nikaona nisiwe mbinafsi kwani naamini pia wapo wanaoteseka kama mimi na ugonjwa huo.
Kikubwa katika kupatiwa dawa hii ya Ambakas huwezi kupatiwa kama hujafanya vipimo na kubainika kuwa una tatizo hili la vidonda vya tumbo kitu ambacho ilinipasa pia kufanya hivyo.
Mimi nilikatishwa tamaa na watu wengi wakiwemo wafanyakazi wenzangu kuwa vidonda havitibika na mimi nilikuwa nimeshafika nusu ya kuamini kutokana na dawa pamoja na hospitali mbalimbali ambazo nilikuwa nimewahi kwenda bila matokeo yoyote..zikiwemo za wachina lakini kwa sasa niko vizuri
Wana Jamvi ni hayo tu kwa leo.
dawa yenyewe kama mnavyoina hapo pichani..