medisonmuta JF-Expert Member Joined Oct 10, 2014 Posts 2,400 Reaction score 1,424 Mar 8, 2015 #21 mm vidonda vya tumbo vilipona kwa kupendelea kupiga mafundo ya asali...
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Mar 8, 2015 #22 Mleta mada anasema "MWAKANI NILIKUWA ZIARANI JIJINI MWANZA" jamani huu si uongo kabisa,,, Mwakani!!!! is it typing error au ndio kutufanya sisi watoto
Mleta mada anasema "MWAKANI NILIKUWA ZIARANI JIJINI MWANZA" jamani huu si uongo kabisa,,, Mwakani!!!! is it typing error au ndio kutufanya sisi watoto
aye JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 2,102 Reaction score 709 Mar 8, 2015 #23 uliitumia kwa muda gani na una uhakika gani vimepona havita rudia tena mana wengi hutumia na kufata masharti lakini baada ya muda vinarudi tena
uliitumia kwa muda gani na una uhakika gani vimepona havita rudia tena mana wengi hutumia na kufata masharti lakini baada ya muda vinarudi tena
Vegetarian JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 654 Reaction score 509 Mar 8, 2015 #24 Akili yangu inanishawishi kuwa mleta uzi anaifanyia promo dawa yake ya 'AMBAKAS.'
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,305 Mar 8, 2015 #25 PACHOTO said: Amalinze ni Naitragen sio lactogeni, tena hao jamaa ni matapeli mm nimetumia dawa yao lakini sijapata hata ahueni Click to expand... Ukimsikiliza yule jamaa wa RFA unaona kabisa ni muongo.
PACHOTO said: Amalinze ni Naitragen sio lactogeni, tena hao jamaa ni matapeli mm nimetumia dawa yao lakini sijapata hata ahueni Click to expand... Ukimsikiliza yule jamaa wa RFA unaona kabisa ni muongo.
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,508 Mar 8, 2015 #26 MAULA said: Kama hujatumwa hebu utuambie hvyo vyakula vnavyambatana na utumiaji wa hii dawa Click to expand... Tiba zote hasa za vidonge asilia ni lazima kabla hujapewa dawa, utatakiwa ule vyakula fulani ambavyo ni ghali sana.
MAULA said: Kama hujatumwa hebu utuambie hvyo vyakula vnavyambatana na utumiaji wa hii dawa Click to expand... Tiba zote hasa za vidonge asilia ni lazima kabla hujapewa dawa, utatakiwa ule vyakula fulani ambavyo ni ghali sana.